SHIRIKI KATIKA UTAFITI (Kishwahili UN 75)


DUNIA INAHITAJI MSHIKAMANO. MVHANGO WAKO NI MUHIMU.

Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 wakati ambapo kumekuwa na changamoto nyingi likiwemo janga kubwa kiafya katika historia. Je hali hii itaifanya dunia kuja pamoja? Au italeta mgawanyiko na kutokuaminiana? Mawazo yako yanaweza kuwa chanzo cha kuleta mabadiliko.

Covid-19 imetukumbusha umuhimu wa kuwa na ushirikiano mipakani mwetu, kati ya sekta mbalimbali, na kati ya kizazi na kizazi. Katimu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesema:


"Kila kitu tunachofanya wakati na baada ya janga hili ni lazima kizingatie kujenga uchumi na jamii zenye usawa zaidi, zilizo jumuishi na endelevu ambazo zitastahamili majanga, mabadiliko ya hali ya hewa na changamoto zingine nyingi za ulimwengu tunazokabiliana nazo."SHIRIKI KATIKA UTAFITI

Majibu yako yatatumika kutaarifu juu ya vipaumbele vya ulimwengu kwa sasa na baadae.

 


(Chagua hadi TATU)
(Chagua hadi Tatu)
(herufi140 )